Habari Maalum Fm 

MHz 97.7 Fm Tune into the Truth 
Frequently Asked Questions

Jocye Magesa
Asante kwa wale wote ambao tumekuwa pamoja katika vipindi mbali mbali ikiwemo Kipindi Cha Amka Ungaze Na Ijue Kweli. Endelea kusikiliza Habari Maalum Fm . 97.7 na Mungu akubaliki.

 Amka Ungaze

Hosted By Jocye Magesa

MUDA : | 07:00 -10:00 | MCHANA | JUMATATU – IJUMAA

Nakukaribisha kusikiliza Kipindi Cha Nuru yako kupitia Habari Maalum Fm 97.7 radio kuanziasaa 3:00 asubuhi hadi saa 7:00 Mchana. Yaliymo katika cha cha nuru yako ni Familia yetu saa 3:40 Asubuhi hadi saa 4:55 asubuhi. Habari 5:00 kamili Asubuhi Nyimbo zetu saa 5:15 Asubuhi – 6:00 Mchana. Neno la kweli saa 6:00 – 7:00 mchana karibu Utusikilize

Nuru yako

Hosted By Edith Laizer

MUDA : | 03:00 -7:00 | ASUBUHI | JUMATATU – IJUMAA

hmel
Nakukaribisha Katika Kipindi Cha Familia Yetu kila siku kuanzia saa 9:40 -10:50 Asubuhi kila jumatatu hadi ijuma karibu sana tuzungumziwe maswala ya famila na Ndio malizi ya watoto na vijana Maswala ya wanawake na wanaume.

Familia Yetu

Hosedt By Anna Rubona

MUDA : | 09:40 -10:50 | ASUBUHI | JUMATATU – IJUMAA

Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Habari Maalum Media fm 97.7 radio nasimamia na kuongoza Kipindi Cha Sayari kinacho sikika saa 10:00 – 12:00 jioni na Top Ten kila Ijuma mosi.

 Sayari

Hosted By Method Charies

MUDA : | 03:00 -7:00 | ASUBUHI | JUMATATU – IJUMAA

Jina langu Ni Faithfully Sizya, Ni presenter na producer wa kipindi Cha Praise Time kinacho fanyika kwanzia siku ya jumatatu hadi ijuma kwanzia saa 7:00 kamili mchana hadi saa 10 kamili jioni, Sikiliza habari malum Fm karibu

Prase Time

Hosted By Faithfully Sizya

MUDA : | 07:00 -10:00 | MCHANA | JUMATATU – IJUMAA

Karibu tuko pamoja katika kipindi cha amka uangaze Ijue kweli ,Usiku Wa Amani na vipindi na vipindi vya weekend asante sana kwa kuskiliza 97.7 habari maalum.

Ijuwe Kweli

Hosted By Grace Elibariki mbise

MUDA : | 03:00 -7:00 | ASUBUHI | JUMATATU – IJUMAA

Karibu Usikilizi Kipindi Cha Usiku Wa Amani kkaribu msikilizaji katika cha uskiku wa Amani utapata kusikiliza neon la mungu kuombewa mahitaji yako kipindi kinaanza saa 11:00 kamili za usiku tufuatilie kwa namba zetu 0755442299 hapa hapa habari maalum fm 97.7 redio

Usiku Wa Amani

Hosted By Estather Dominic

MUDA : | 07:00 -10:00 | MCHANA | JUMATATU – IJUMAA

Shalom mimi naitwa able said lowassa mtangazaji na mwandaji wa Kipindi Cha Prise Time hapa habari maalum fm radio 97.9 Napenda kukukaribisha kusikiliza kipendi cha praise time kuazia jumaatatu hadi ijuma saa 7:00 kamili mchana hadisaa 10:00kamilli jioni. Tujfunze pamoja na kumsifu mungu pamoja.

Familia Yetu

Hosted By Abel Said lowassa

MUDA : | 09:40 -10:50 | ASUBUHI | JUMATATU – IJUMAA