Faithfully Sizya

Jina langu Ni Faithfully Sizya, Ni presenter na producer wa kipindi Cha Praise Time kinacho fanyika kwanzia siku ya jumatatu hadi ijuma kwanzia saa 7:00 kamili mchana hadi saa 10 kamili jioni, Sikiliza habari malum Fm karibu