Habari Maalum Media UTANGULIZI
Habari Maalum ni tassais ya kiinjili inayofanya kazi chini ya kanisa la “The Free Pentecost Church of Tanzania” (FPCT) Taasisi ilianza mwaka 1974 huko Marangu Moshi , Missionary Fred Nyman akita mwazilishi.Mwaka 1982 ilihamia Arusha Kwa kukodisha baadhi ya Chumba Katina Marengo ya AICC Mjini arusha Mwaka 1984 ofisi ilihamia rasmi maeneo ya Ngaramtoni Kilimita 15 nee ya mij wa Arusha Ukielekea Barabara ya Namanga.
Maona
Tangu mwanzo kazi kuu imekuwa ni kumfikia/kumhudumia mtu (ki-roho ,ki-nafsi na mwili)kwa kuhubiri na kufundisha Neno la Mungu ‘Injili’ ya Yesu kristo na kutoa mafundisha ya kijamii (Afya Bora ,Utunzaji Mazingira ) pamoja na burudani kwa kutumia vyombo vya habari; Media (Redio ,Tv N.k) walengwa wakiwa ni watt Afrika Mashariki na kati
Text content
About Habari Maalum
Since 1974 to present, Habari Maalum Media has been working as a Gospel platform reaching different people with the Good News through Radio and TV programs. Most of our listeners have been encouraged with what we do and also supportive of what we do. Media being the core vessel that God has given us to reach thousands of people. In 2021 we are focusing on the following: to reach more CHILDREN and YOUTH through our multiple programs.
More